Nimesoma kuhusu kifo cha Dr. Edith Kitambi leo keshafariki muda mrefu na watu wameandika kama kumbukumbu.
Kwangu mimi ikawa ni msiba mpya na machungu yake naomboleza wakati wenzangu weshapoa.
Nilimfahamu Edith University of Wales Cardiff mwaka wa 1991 sote tukiwa Postgraduate Students kutoka...