Mkutano Mkuu wa KKKT uliofanyika Chuo Kikuu Makumira Arusha ulimchagua Askofu Dr Malasusa kuwa Mkuu wa kanisa KKKT.
Mabadiliko ya katiba ya KKKT Mkuu wa Kanisa hatakuwa tena Askofu wa Dayosisi. Kwakuwa Askofu Dr Malasusa ni Mkuu wa KANISA atalazimika kuachia nafasi yake ya Mkuu wa Dayosisi ya...