Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema chama hicho kimefanya mabadiliko ya kuongeza wajumbe katika Mikutano Mikuu ya Kata na Mikutano Mikuu ya Wilaya ili kupunguza mianya ya rushwa iliyokuwa ikifanywa na watia nia ili kupitishwa na chama kugombea udiwani na ubunge...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea mwenza wa kiti cha Urais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema wapo watu wameanza kampeni za kutaka kuwatoa majimboni wabunge waliopo kwenye maeneo yao na kupitia kampeni zenye nia ya kuchafuana, hivyo amewataka waache mara moja kwani...
Wakuu
Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma kikiongozwa na Mwenyekiti wake Comrade Oddo Mwisho kimefanya Maandamano ya amani yenye lengo la Kupongeza na kuunga mkono Azimio la mkutano mkuu Maalum wa CCM Taifa ambalo liliwachagua na kuwapitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa Jamhuri...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema chama hicho hakina sababu ya kutumia lugha ya kebehi na matusi kutokana na utekelezaji mkubwa wa miradi uliofanywa na serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Balozi Dkt. Nchimbi ametoa kauli hiyo jijini...
Emmanuel John Nchimbi alizaliwa tarehe 24 Desemba 1971 mkoani Ruvuma, Tanzania. Alikulia katika familia yenye maadili ya kijamii na kisiasa, jambo ambalo lilimwandaa mapema kwa ajili ya kuingia kwenye uongozi akiwa bado kijana mdogo
Elimu yake:
Elimu ya Msingi: Alisoma katika Shule ya Msingi...
===
Wana jamii forum hii ndio habari kuu mpya toka mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa kuwa Mhe Dkt Emmanuel Nchimbi ndio Mgombea mwezi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Ujao Oct 2025.
Uteuzi na mabadiliko haya yataanza rasmi baada ya mwezi July Bunge litakapovunjwa hivyo Dkt Philip...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo tarehe 09 Oktoba 2024 akiwa Tinde Shinyanga Vijijini amezungumza na Wananchi na moja ya kero ilikuwa ni Changamoto ya Mfumo Katika ugawaji pembejeo kwani mkulima inamlazimu mtu kutoka asubuhi sana kuwahi lakini akakosa pia ...
Ndugu zangu watanzania,
Tundu Lissu anayo mengi sana ya kujifunza kutoka Katika picha hii inayomuonesha Katibu Mkuu wa CCM Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi akifurahia jambo na Mwenyekiti wa CHADEMA Mheshimiwa Freeman Mbowe.
Hii picha ilichukuliwa na kupigwa hapo jana walipokutana...
CCM wana roho njema sana, sasa wamechukua jukumu la kuhakikisha Tundu Lissu anapata gari. Chadema wameshindwa kumpa gari kiongozi wao mkuu.
Nashauri kila mkutano wa CCM wamchangie Lissu, na pia Mama Samia ampe surprise ya mchango katika moja ya mikutano ya hadhara.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 -...
Mara nyingi nimesema kwamba Polisi Tanzania wanafanya kazi kwa namna ambayo ni very unprofessional na kwa lengo la kuwafurahisha CCM. Wanajikomba, wanajipendekeza kwa CCM kupita kiasi, hadi inatia aibu na kichefuchefu.
Sasa katika tukio la Mbeya la viongozi wa Chadema kukamatwa, Dr. Nchimbi...
Hata sina haja ya kujieleza, Dr Nchimbi ametufumbua macho kwamba Intelijensia ya Chama chake ndiyo iliyoelekeza kwamba Mbeya hapakaliki na kusababisha kukamatwa viongozi wa CHADEMA kinyume cha sheria.
Mfano mzuri nini kilichosababisha Mbowe akamatwe uwanja wa Ndege kama watangulizi wake...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu Mkuu wa CCM Dkt Emmanueli Nchimbi Ametua kusini Rasmi kuanza na kuendelea na ziara yake ya kichama kama ambavyo niliwajuzeni humu jukwaani. Ambapo ameambatana na wajumbe wa sekretarieti akiwepo katibu wetu Mwenezi CCM Taifa Ndugu CPA Amos Makala.
Ambapo katibu...
Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi amesema maneno ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere bado yanaishi ya kwamba CCM ikitikisika hakutokuwa na Nchi madhubuti na hivyo amewataka kila Mtanzania moyoni mwake asikie kwamba uimara na umadhubuti wa Nchi unamtegeme.
Akiongea Mkoani Singida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.