"Hatuwezi kuendesha Shirika la Posta kama tulivyokuwa tunaendesha miaka ya nyuma, lazima twende na mabadiliko ya TEHAMA na mahitaji ya sasa ya Dunia, na ndio tafsiri ya kauli yangu ya msipobadilika mtabadilishwa na mazingira”
Dkt. Faustine E. Ndugulile
Februari 2021
************************...
Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika (WHO-Afrika) na Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndugulile kuzikwa leo, Novemba 3, 2024 katika Makaburi ya Mwongozo yaliyopo Kigamboni
Taarifa hii imetolewa na watoto wake Martha na Melvin Novemba 2, 2024 katika hafla ya kumuaga...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Dk Faustine Ndugulile itaelekezwa kwa Mtanzania mwingine mwenye sifa.
Rais Samia amesema hayo leo Jumatatu, Desemba 2, 2024 katika hafla maalumu ya kuaga mwili...
Mwakilishi wa wabunge wachache bungeni, Halima Mdee, amesema Dk Faustine Ndugulile, aliyekuwa mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, alisimama kidete kwa wananchi wake na Taifa, kusema kweli bila kujali gharama.
"Dkt. Faustine Ndugulile...
Rais Samia Suluhu Hassan ameungana na familia, viongozi na waombolezaji katika Ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Marehemu Dkt. Faustine Ndugulile, katika Viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam.
Pia, Soma...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza wananchi kwenye mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika, Dkt. Faustine Ndugulile yanayotarajiwa kufanyika Disemba pili, jimboni kwake Kigamboni Dar es Salaam.
Mwili wa marehemu Dkt...
Wakuu salam,
Binafsi simjui kivilee huyu bwana ila ni moja ya kifo cha kiongozi ambacho kimeniuma. Nimeanza kumfahamu hivi karibuniakiwa mbunge karibia na ushindi wake WHO.
Tar 27/8/2024 tukapata habari njema ya yeye kuwa Katibu Mkuu WHO, tar 27/11/2024 tukapata habari za kuhuzunisha juu ya...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, amesema kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Dk Faustine Ndugulile, kimeacha simanzi kubwa kwa Bunge na Watanzania kwa ujumla, kutokana na mchango wake...
Round One
Tanzania 19
Senegal 12
Niger 7
Rwanda 7
Special Round to eliminate one candidate
Niger 22
Rwanda 20
Absteein 3
Round Two
Tanzania 25
Senegal 14
Niger 6
Je, hiki ni kiashiria cha imani ya dunia kwa Tanzania?
Pia soma
Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha...
Mkutano wa Afya wa 74 wa Shirika la Afya Duniani (WHO) unaoendelea Brazzaville, Congo leo Jumanne, Agosti 27, 2024 unatarajiwa kumpitisha Mkuu wa WHO Kanda ya Afrika ambapo miongoni mwa wagombea watano Tanzania inawakilishwa na Dk Faustine Ndugulile.
Wagombea wengine ni pamoja na Dk Boureima...
Ujumbe wa Tanzania washiriki Mazoezi ya ‘Walk the Talk’
Brazzaville, Congo
25 Agosti 2024
Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, wameungana na mgombea wa Tanzania kwa nafasi ya Mkurugenzi wa...
Mbunge wa Kigamboni, Faustine Ndugulile ameuliza bungeni kuhusu mikakati ya serikali kufanya mapitio ya ada za usajili wa mifumo ya malipo(fintech apps) pamoja na mikakati ya kuboresha mazingira ya kazi kwa wabunifu wa malipo ya mtandao.
Zaidi ya hayo, ameulizia mpango wa serikali kuhurusu...
Wakuu hi tozo ikiondolewa wakazi wa Kigamboni itawapunguzia Sana Ukali wa Maisha.
Mbunge wa Kigamboni Dkt. Faustine Ndugulile (Mb) ameitaka Serikali kuondoa tozo za Daraja la Nyerere lililopo Kigamboni na badala yake Serikali ibebe mzigo wa deni la mkopo wa NSSF.
Ndugulile ameyasema haya leo...
Juzi, Rais Samia alifanya mabadiliko madogo katika baraza la mawaziri kwa kutengua uteuzi wa mawaziri watatu akiwamo Ndugulile na kuteua wapya wanne ambao ni Dk Ashatu Kijaji, Dk Stergomena Tax, January Makamba na Profesa Makame Mbarawa.
Ndugulile uteuzi wake ulienguliwa na nafasi yake...
Dkt Faustine Ndugulile ametoa ushauri kwa wananchi kutumia mitandao ya kijamii vizuri, na kuepuka makosa ya mtandao.
Amesema kuwa na bifu na mtu mtaani halafu kutumia ukurasa wa Instagram kumchamba ni kosa kisheria. Aidha kumkashifu mtu mtandaoni ni kosa.
Amesema hata kama mtu atatumia jina...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile ametoa wito kwa wananchi kutoweka alama za vidole zaidi ya mara moja wanapokuwa wanasajili laini ili kuepuka kumsajilia mtu mwingine ambaye ana nia ovu.
Aidha amesema watatoa muda maalumu kwa kila mwananchi kuhakikisha namba...
Na Thadei Ole Mushi
Serikali inaandaa sheria maalumu ya mtu kuwa na laini moja ya simu kutoka kampuni moja ikiwa ni njia ya kulinda faraga za watu inayolenga kudhibiti wahalifu mtandaoni.
Bado naona Kuna tatizo kwa Wizara yetu ya Technolojia ambayo ni Wizara Mpya kabisa.
Tatizo kubwa hawa...
SERIKALI KUTANGAZA ZABUNI YA KUPELEKA MAWASILIANO MAENEO YA MIPAKANI
Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) inatarajia kutangaza zabuni ya awamu ya sita yenye lengo la kupeleka mawasiliano katika kata 179 zenye vijiji 358 mradi unaolenga kupunguza changamoto ya mawasiliano kwa...