Ziara ya Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe yazidi kupamba moto Jimboni akiongozana na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya na Sekretaileti ya CCM Wilaya ya Kibondo chini ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya Ndugu Hamis Salum Tahiro na Katibu wake Ndugu Rafael John Sumaye maarufu...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi leo amesimama Bungeni Jijini Dodoma kuuliza Serikali kupeleka maji kwenye taasisi za shule na vituo vya afya na uanzishaji wa miradi ya maji.
Fungua video hii kuona kila kitu alichouliza Mhe. Mbunge Samizi na majibu ya...
MBUNGE SAMIZI ACHANJA MBUGA KUNADI WAGOMBEA WA CCM MUHAMBWE.
Apita mguu kwa mguu Kata za Mkabuye, Rugongwe, Busagara kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Dkt. Florence George Samizi ameendelea kuchanja mbuga kuwaombea kura na kuwanadi wagombea wa...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe wilayani Kibondo Mhe. Dkt. Florence Samizi amesema filamu maarufu ya Tanzania The Royal Tour iliyochezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imeleta matokeo makubwa Katika Pori la Akiba Moyowosi linalosimamiwa na Mamlaka ya...
Atumia fursa hiyo kuhamasisha wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27 mwaka huu
Katika harakati za kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan anayepambana kupunguza uchafuzi wa mazingira na kuenenda na Mpango wa Taifa wa utunzaji wa mazingira kwa kutumia Nishati Safi ya...
Jimbo la Muhambwe limepokea Mwenge wa Uhuru kutoka Halmashauri ya Kasulu Vijijini katika Uwanja wa Shule ya Msingi Busunzu 'B' ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa mbio za Mwenge wa Uhuru zinazoendelea nchini.
Katika Jimbo la Muhambwe, Mwenge wa Uhuru umezindua Miradi ya Maji, Madarasa, Bweni na...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi Jana Jumanne Septemba 03, 2024 amesimama Bungeni Jijini Dodoma kuhoji Serikali kuhusu malipo ya fidia kwa wananchi wake wa Jimbo la Muhambwe pamoja na ujenzi wa barabara ya Kibondo Mjini ya Townlink.
Mbunge Samizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.