dkt. harrison mwakyembe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Napinga Dkt. Harrison Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa Tume ya kuchunguza kufeli kwa wanafunzi wengi wa Law School

    Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza masuala ya Law school, ikiwemo wanafunzi wengi kufeli mitihani, anapaswa kuwa mtu Muungwana, Mtulivu, Msikivu na asiye na makuu, anapaswa kuwa mkweli, Mwakyembe hana sifa hizi. Napinga uteuzi wa Harisson Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa Tume hii kwa vile Haaminiki...
  2. Aliyetumia chaneli yake katika YouTube kumzushia kifo Dkt. Harrison Mwakyembe, akamatwa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata Tazarn Alfan Mwambengo (27), mkazi wa Ukonga, ambae anatuhumiwa kusambaza taarifa za uongo kuhusu kifo cha Dkt. Harrison Mwakyembe kupitia chaneli ya televisheni ya mtandaoni jambo ambalo si la kweli. Katika chaneli hiyo ya mtandao...
  3. Dkt. Mwakyembe aandika waraka wa siri!

    AUSAMBAZA KWA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI ZAKE WA KARIBU NAIBU Waziri wa Ujenzi anayeugua ugonjwa uliozusha utata mkubwa serikalini, Dk. Harrison Mwakyembe, ameandika waraka mahususi unaoeleza kile anachokiamini kuwa ni chanzo cha ugonjwa wake, Tanzania Daima Jumatano limebaini. Waraka huo ambao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…