Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi watuhumiwa hao ni Innocent Adam Chengula na Tarzan Alfan Mwambengo wanaodaiwa kutumia picha na jumbe za simu zinazomuhusisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo kwa lengo la kutapeli pamoja na kuzusha kifo cha Dr. Mwakyembe.
Baada ya upekuzi walikutwa na Kadi za Simu...
🔥NI LEO, KUANZIA SAA 7 USIKU HUU, FILAMU YA ROYAL TOUR KUZINDULIWA RASMI NEW YORK- MAREKANI, KUWAFIKIA WATU BILIONI 1 DUNIANI KOTE.
Na Bwanku M Bwanku.
Historia inaandikwa rasmi kuanzia Saa 7 usiku wa leo Jumatatu Aprili 18, 2022 kwenye Anga za Kimataifa ambapo Royal Tour, Filamu Maalum ya...
Hili dongo lilikuja baada ya lopolopo kutoa onyo mashabiki wa utopolo wasikanyage uwanjani siku ya mechi ya kimataifa ya simba, Picha likaanza tu simba walitoa statement KUSIKITISHWA NA UROPOKAJI HUO na msemaji wa serikali kipindi hiko Dr Abass akashushia msumari wa moto.
Lopolopo kama kawaida...
Mlitaka kumfurahisha mama kwa kusogeza mechi mbele ili watu waangalie uzinduzi wa kitabu cha Mwinyi pia kumpa mama nafasi ili aje uwanjani. Kiki hii iligonga mwamba.
Kiki ya pili mnataka kuwapa lawama Yanga na TFF wakati UJINGA mmeufanya nyinyi wizarani. Hii kiki ya pili nayo itawatokea puani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.