Dkt. Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi amewataka waislamu wote kuendelea kuutimiza wajibu wa kuuheshimu mwezi wa Ramadhani na kuachana na mambo yote yanayokwenda kinyume na mwezi mtukufu.
Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi ametupa kijembe kwa vyama vya upinzani ambavyo vimezoea kutoa kasoro katika miradi mbalimbali na kusema ndo wanaanza
Kwa mujibu wa Hussein mwinyi amesema sasa watamtungia jina la Mwinyi maflyover na wakisema hawaoni watazame ya angani kama hawaoni watakuwa Juha.
Hongera Rais Mwinyi unastahili tuzo hii ya Uongozi Unaoacha Alama.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Zanzibar.
Chuo Kikuu cha Zanzibar kimemtunuku Shahada hiyo ikiwa ni kutambua na kuthamini...
Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Mazrui ametangaza kuwa Hospitali zote Zanzibar zilizojengwa na Serikali ya Rais Dkt. Hussein mwinyi sasa rasmi zitasimamiwa na Sekta binafsi kwenye uendeshaji wake ili kuwe na huduma za kisasa na za Kimataifa.
Akiongea Visiwani Zanzibar leo August 16,2024...
Ili kupunguza makali kwa wanzazibari Rais Samia kwa kushirikiana na Mwinyi jengeni bara ya lami kuunganisha Unguja na Bara.
Hii itasaidia maroli na vyakula kutoka bara kwenda kuingia kwa urahisi visiwani. Aidha ni ukweli usiopingika kwamba gharama ya vyakula ipo juu.
Na pia itapunguza kero...