Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Dkt. Jakaya Kikwete ataongoza Bonanza kama Mgeni rasmi, Bongo Muvi ndani
Mbunge wa Chalinze na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira, na Watu Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete anafunga mwaka na Bonanza kubwa la kufunga mwaka la Chalinze Festival...
Kama katiba pendekezwa ya Jaji Joseph Warioba ingepitishwa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete angeingia kwenye historia ya kuiletea Tanzania katiba ya kimageuzi!
Kama hiyo katiba ingepita, ingemweka Kikwete kwenye nafasi ya kukumbukwa na vizazi vingi kama "mwanamageuzi" nchini. Ilibaki kidogo tu...
Wote mnakumbuka kwenye Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2022 Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze iliyopo mkoani Pwani ilishinda na kuongoza Kitaifa katika Halmashauri zilizofanya vizuri katika ubora wa utekelezaji na usimamizi wa miradi ya maendeleo iliyotembelewa na Mwenge wa Uhuru.
Mwaka huu 2024...
RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema amani na utulivu ambayo nchi nyingi duniani na bara hili wanayaona nchini ni matokeo ya msingi imara ambao umejengwa chini ya uongozi wa Baba Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere na kuongeza kuwa ni jukumu la kila Mtanzania kulinda...
JK amteua Zitto Kamati ya Madini
MWANDISHI WETU
Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete, amemteua Mwanasheria Mkuu Mstaafu, Jaji Mark Bomani na kuongoza Kamati ya Kuangalia upya Mikataba ya Madini, ikijumuisha wabunge wawili wa upinzani na wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM).
Taarifa ya Ikulu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.