dkt. kigwangalla

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Wananchi wa Kijiji cha Idibula, Kilino (Nzega) hawajawahi kupata maji safi

    Tatizo la maji bado ni kubwa sana. Nimeenda Kijiji cha Idubula Kilino Nzega bado wananchi wa vijiji hivi hawajawahi kupata maji safi na salama tangia uhuru. Sijui viongozi wa maeneo hayo wanajisikiaje?
  2. J

    Dkt. Kigwangalla: Niliacha kazi ya Udaktari kwa sababu ya Mshahara mdogo, nilikuwa nalipwa tsh 126,000 Wakati Dereva wa TRA analipwa Tsh. 360,000/-

    Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangalla amesema aliacha Kazi ya Udaktari kwa sababu Mshahara ulikuwa mdogo. Dr Kigwangalla amesema Baada ya kuusotea Udaktari kwa miaka 18 alijikuta analipwa tsh 126,000 kama Mshahara huku Dereva wa TRA akilipiwa tsh 360,000. Kigwangalla amesema akiwa Rais wa...
  3. J

    Dkt. Kigwangalla: Nimefanya mazuri mengi nikiwa Waziri lakini sipendi sifa na wanaonikosoa kwa mabaya machache hiyo ni haki yao ya msingi

    Dr Kigwangala amesema alipokuwa Waziri wa Maliasili na Utalii alifanya mambo mengi mazuri lakini hawezi kuyasema kwa sababu yeye siyo mpenda kusifiwa. Ila kuna machache ambayo wengine wanaona sikuwa sahihi kwahiyo wanaonikosoa, nakubaliana nao hiyo ni haki yao ya msingi. Ameandika Dkt...
  4. sifi leo

    Sifurahishwi na Matusi ya Nape, Kingwangalla na Humphrey Polepole kwa Dkt. Bashiru

    Mimi binafsi kama kijana wa kitanzania, ambaye utawala wa awamu ya Tano nusu unitoe roho Kwa presha pale nilipoenda TRA na kukutana na kikosi kazi kilichoundwa na Mh. Makamu wa Rais wa Sasa enzi hizo akiwa Waziri Wa fedha kwa kweli sifurahishwi na Matusi ya rejareja anayotukana Mh Waziri wa...
Back
Top Bottom