HABARI Idadi ya wanaume waliofanyiwa vitendo vya ukatili ikiwemo vipigo wilayani Mufindi mkoani Iringa, imepungua kutoka wanaume 811 mwezi Januari mwaka huu hadi kufikia wanaume 407 mwezi June.
Mkuu wa wilaya ya Mufindi Dkt Linda Salekwa amesema kuwa hayo ni matokeo mazuri ya elimu inayoendelea...