Kwa wastani Watoto wanaozaliwa Mkoa wa Dar es Salaam kwa siku ni zaidi ya Watoto 430, ambapo kati ya hao, Watoto 86 sawa na asilimia 20 wanahitaji huduma mbalimbali za Watoto wachanga wenye matatizo mbalimbali.
Hayo yameelezwa Julai 13, 2024 na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt...