dkt mpango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Adv. Tenzi afungua kesi ya kumtaka Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango aachie ofisi baada ya kusema kwamba alimwandikia rais barua kujiuzulu

    Hivi karibuni Tarehe 19 January, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi CCM alisema kwamba amekuwa akipata ombi kutoka kwa Makamu wa Rais Mh. Dr. Philip Mpango la yeye kujiuzulu nafasi yake ya Umakamu na hata...
  2. Waziri Mwigulu hajawahi na hatokaa kua ARCHITECT wa Uchumi wa Nchi hii, Amemkosea sana Mh Makamo Dkt Mpango !

    Mh Waziri Mwigulu Nchi Ina mambo mengi sana yaliyohitaji matumizi sahihi ya Brain. Katika Utulivu wa Akili na Mwili wako, hivi kweli hata ukikaa unaweza kusema una Kila sababu ya SAINI yako kuonekana kwenye Noti na Watanzania wakasema hakika unastahili?. Sasa sishangai kwanini ulipaka mawe...
  3. Kuhusu Dkt. Mpango, Tumepoteza Mzalendo ndani ya Mfumo (System)

    Kwa taarifa zisizo RASMI( unpublished data) ni kwamba Dr Mpango amekuwa haridhishwi na namna nchi inavyopelekwa kwa sasa hasa kwenye uwekezaji wa resources . Kwa mfano, uwekezaji wa DP world Tangu ile Safari ya Dubai, Dr Mpango alikuwa against na process nzima, resources za nchi zinaenda...
  4. Philip Mpango ameshindwa kuacha legacy ya kuiacha Dodoma ya kijani japo Wizara ya Mazingira ilikuwa chini yake

    Mimi nilikuwa mmoja wa watu niliyekuwa nikimuhamasisha Mzee Philip Mpango afanye kampeni kubwa ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda mamia ya mamilioni ya miti. Hii ingemuacha na kumbukumbu kubwa sana. Huko duniani fedha za mazingira zimejaa tele. Mzee hata hilo lilimshinda. Mji wa serikali...
  5. Dkt Mpango ataka ubunifu wa vijana uzingatiwe katika matumizi ya nishati safi ya kupikia

    Na Irene Gowelle Baku, Azerbaijan. Ili kufikia malengo tarajiwa katika matumizi ya nishati safi ya kupikia, Makamu wa Rais, Mhe.Dkt Philip Mpango amesema ni muhimu uvumbuzi na ubunifu wa vijana ukazingatiwa. Kauli hiyo ya Dk Mpango, inakuja kuweka msisitizo wa matumizi ya mbinu za ubunifu...
  6. Dkt Mpango: Nimestushwa na taarifa ya kupigwa kwa fedha za wakulima wa tumbaku Takribani Bilioni 1.2

    Makamu wa Rais ameoneshwa kusikitishwa Kwa ulaji huo wa pesa za wakulima ukiofanywa na Watumishi Kwa kushirikiana na Maofisa wa NMB na watu wengine 15. Waziri wa Kilimo amesema amechukua hatua zikiwamo.kuwasimamisha kazi waliotajwa huku VP Mpango akimtaka kuchukua hatua zaidi Kwa kushirikiana...
  7. Makamu wa Rais Dkt Mpango azindua kituo cha upandikizaji Mimba na Gari la huduma tembezi za Afya

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango leo Septemba 12, 2024 amezindua kituo cha upandikizaji mimba (IVF) cha Dkt. Samia Suluhu Hassan kilichopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar Es Salaam. Sambamba na hili , Dkt. Philip Isdor Mpango leo...
  8. J

    Dkt Mpango aipongeza Wizara ya maji kwa usimamizi na utekelezaji wa miradi ya maji Nchini

    DKT MPANGO AIPONGEZA WIZARA YA MAJI USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAJI NCHINI BAHI-DODOMA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Philip Isdori Mpango Leo Agosti 19, 2024 ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maji Ibihwa, Wilayani Bahi, Jijini Dodoma. Mhe...
  9. Dkt Mpango: Ardhi ya Kilimo cha Zabibu isimamiwe kikamilifu

    MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango ameiagiza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kushirikiana na uongozi wa Mkoa wa Dodoma kuhakikisha ardhi inayotengwa kwa ajili ya kilimo cha zabibu inalindwa na usifanyike ujenzi wa makazi katika ardhi hiyo...
  10. Dodoma: Yaliyojiri Ufungaji wa Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo Ya Kiserikali (NGO's) - Oktoba 5, 2023

    Link hii hapa, karibuni[emoji847] https://youtube.com/live/MhZaCP3E9GA?si=FvE9aTPWw7MPBWaj ========== DKT. DOROTHY GWAJIMA, WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUM Jukwaa hili kitaifa ni la tatu, ambapo la kwanza lilikuwa ni mwaka 2021 na Mgeni Rasmi alikuwa Rais wa...
  11. B

    Dkt Mpango avutiwa na ubunifu wa programu ya IMBEJU katika kuchochea ujumuishi wa kiuchumi nchini

    Arusha. Tarehe 18 Mei 2022 - Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ameipongeza Benki ya CRDB pamoja na taasisi yake ya CRDB Bank Foundation kwa ubunifu iliokuja nao kupitia programu ya IMBEJU ambapo amesema ni wenye manufaa makubwa kwa Taifa. Dkt. Mpango amesema...
  12. Makamu wa Rais, Dkt. Mpango akemea ndoa za jinsia moja

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wazazi na walezi kuwalea watoto kwa kuzingatia maadili ya kitanzania pamoja na kuongeza umakini katika maudhui yanayooneshwa katika televisheni. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akizungumza na waumini wa...
  13. Dkt Mpango: Kuna manung’uniko mengi ya Wananchi kuhusu mifumo yetu ya haki jinai

    Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango amesema manung’uniko hayo ya Wananchi yanaonesha changamoto nyingi zilizopo kuanzia ukamataji wa wahusika kujua hata haki zao pamoja na ucheleweshaji wa upelelezi. Amesema “Nitoe mfano kuna kijana alikamatwa mwezi mmoja na nusu uliopita #Mwanza, wazazi wake...
  14. B

    Ridhiwani: Mpango huu unakwenda kutengeneza wakina Mama Samia wengi, akagua ujenzi wa shule Chanika

    Mbunge wa Chalinze Mkoani Pwani na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete akikagua ujenzi wa shule ya Sekondari inayojengwa katika Kijiji cha Msolwa kilichopo Halmashauri ya Chalinze Mkoa wa Pwani mapema leo Jumatatu Machi 07, 2022. “Mafanikio haya...
  15. U

    TANZIA Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Gharibu Bilali afiwa na Mamake Mzazi

    Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amemtembelea kumpa Pole Credit Bilali aliyempoteza Mamake Mzazi Marehemu Safia Abeid Mama Mzazi wa Dkt Mohamed Gharibu Bilali alifariki Januari 3 na kuzikwa Januari 4 Unguja
  16. Makamu wa Rais, Dkt Mpango anasafiri kwenda Singapore leo Novemba 14

    Makamu wa Rais Dkt. @dr_philip_isdor_mpango leo 🗓Nov 14,2021 anatarajia kuondoka Nchini kuelekea Sentosa Island Nchini 🇸🇬Singapore kushiriki mkutano wa Jukwaa la Majadiliano ya Kiuchumi (Bloomberg New Economy Forum 2021 ), Wenye lengo la kujadili masuala mbalimbali ikiwemo muelekeo mpya wa...
  17. S

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango amemuwakilisha Rais Samia katika mkutano wa (Africa – CARRICOM Summit) uliofanyika kwa mtandao

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango hii leo Septemba 7, 2021 amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kwanza wa Afrika na Umoja wa Nchi za “Carribbean”(Africa – CARRICOM Summit) uliofanyika kwa njia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…