Mpina atakuwa ana tatizo la afya ya akili (kwamba ni kichaa)? Hoja imetolewa na mbunge ambaye kaonyesha wasiwasi kuhusu afya ya akili ya mbunge Mpina.
Ukichaa ni moja ya mago hwa yanayotibiwa na Hospitali yetu bingwa kabisa ya afya ya akili, Milembe, ambayo haiko mbali na viunga vya Bunge...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ameingia kwenye Jimbo la Geita Vijijini na kuwasha moto mkubwa wa Katiba Mpya, wananchi wamepata wasaa wa kupiga kura hadharani ya kuukataa Mkataba wa kitumwa wa Bandari na DP World.
Kabla ya kura hiyo, Wananchi wa Jimbo hilo walilalamika kwamba, ukiacha...
Mbunge wa Jimbo la Geita Joseph Kasheku Musukuma amehoji Bungeni faida ya kuweka hereni kwenye ng’ombe na amemtaka Waziri wa Mifugo na Uvuvi kujinasua kwenye mtego huo.
Musukuma amesema hayo wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliyoomba kiasi cha...
Wadau mbunge wa Geita ambaye ametunikiwa degree ya heshima na chuo kikuu kisichojulikana amejinadi kuwa kuna vyuo vikuu kama UDSM, SAUT n.k vinamhitaji akawafundishe elimu ya uchumi. Msomi huyo aliyemaliza elimu yake ya darasa la 7 lakini akatunikiwa degree na kuwa daktari, kwa sasa amesema kuwa...
Akichambua Ripoti ya CAG, Dr Msukuma Mbunge wa Geita vijijini amemlaumu Godwin Kunambi aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma kwa kutekeleza miradi inayoleta hasara.
Dkt. Msukuma amesema Ujenzi wa Hotel ya nyota 5 ni ubabaishaji mtupu.
Ujenzi wa Soko la Ndugai hauna tija na Fedha iliyowekezwa...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, baada ya kutunukiwa PhD, sasa ni rasmi Mh Musukuma ameanza kutumia lugha ya Kiingereza kama lugha yake kuu ya mawasiliano bungeni.
Leo ameuliza swali kwa kizungu ambapo waziri amepata kigugumizi kujibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.