Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameishukuru China kwa kufikia hatua za mwisho za kufadhili ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR ambao unaendelea hivi sasa kwa kipande cha tano cha kuanzia Mwanza hadi Isaka na kuahidi kuyafanyia kazi maombi mengine ya kipande cha sita kinachoanzia Tabora...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba,Ambaye ni waziri wetu wa Fedha ametumia usafiri wa Treni ya Mwendo kasi kutoka Dar kuelekea Dodoma.ambapo Mheshimiwa Waziri ameonekana akiwa amejaa Tabasamu na furaha kubwa sana katika uso wake akiwa ndani ya usafiri huo.
Ambao...
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu amewaasa wananchi kuacha kugombana kwa sababu za siasa kwani kitendo hicho kinasababisha maafa, yatima, wajane na kukosekana kwa amani.
Dkt. Nchemba ameyasema hayo kwenye kilele cha Makambi alipokuwa akizungumza na waumini wa Kanisa la...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimefurahi sana kuona Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri wa Fedha akijitokeza hapa jukwaani kuja kutoa ufafanuzi wa hoja ambayo ilikuwa inagusa wizara yake.Nampongeza sana kwa ujasiri na uthubutu wa hatua hiyo. kwa kuwa hatua hiyo inasaidia kuondoa uzushi ...
Wakati fulani Mwigulu Nchemba alikana kumiliki timu ya soka na kusema yeye hamiliki hata bajaji.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amemuumbua na kusema alikuwa anaimiliki Singida BS na kuiuza na sasa anamiliki Ihefu SC.
Wadau humu tumekuwa tunauliza, sio dhambi kumiliki mali lakini kwa...
"Inawezekana wenzetu hawa kwa tamaa za madaraka hawajatilia maanani suala hili (Muungano) viongozi hao wanafikiri kuwa lugha hizo za kuhatarisha muungano zina mashiko kwa wapiga kura wao na kana kwamba hawajawahi kunufaika na uwepo wa muungano, kuligawa Taifa kwa ajili ya kufanikisha ajenda ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.