Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi, jana tarehe 27 Oktoba 2024, amezindua soko jipya la Jumbi katika wilaya ya Magharibi B, mkoa wa Mjini Magharibi. Hafla hiyo pia imehudhuriwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania...