Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge amesema kuwa Watu zaidi ya elfu 18 kitika kipindi cha mwaka mmoja wamenufaika na huduma mbalimbali za kibingwa kwa magonjwa ya moyo ikiwemo kufanyiwa vipimo bure kupitia utaratibu wa tiba Mkoba kwa jina la Mhe. Dkt. Samia...