MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango ameiagiza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kushirikiana na uongozi wa Mkoa wa Dodoma kuhakikisha ardhi inayotengwa kwa ajili ya kilimo cha zabibu inalindwa na usifanyike ujenzi wa makazi katika ardhi hiyo...