Kwenye Ibada Maalum ya kumbukumbu ya miaka 23 ya kifo cha Mwalimu Nyerere, iliyofanyika huko Mkoani Kagera, Viongozi kadhaa wa Kitaifa wamehudhuria, akiwemo Mh Rais Samia Suluhu na Makamu wake, Dr Philipo Mpango , Tunawapongeza kwa jambo hilo.
Sitaki kurudia yaliyotokea ili nisiwachoshe, lakini...