Wakuu,
“Umasikini ni tafsiri, mtu anaweza kuja Tanzania akasema Tanzania ni nchi masikini, lakini ni tafsiri, inategemea vigezo gani ametumia. Mimi ukiniambia Tanzania ni nchi masikini ninakukatalia, ninakwambia Tanzania siyo masikini, sisi ni matajiri mno, tuna rasilimali, tuna maji, tuna...