dkt slaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Hii CHADEMA ya Dkt Slaa pale, huku Tundu Lissu kule Freeman Mbowe pale John Heche na John Mnyika katikati Godbless Lemma CCM kwisha kabisa

    Kama Kuna mziki CCM itapitia tangu kuanza kwa vyama vingi basi ni huu wa CHADEMA ya sasa. Najaribu kufikiria kama watakuwa na chopa tatu na wakawa na root tatu zitakazoongozwa na Dkt Slaa, Lissu, Mbowe na Heche naamini hii No reform No Election itakuwa ni kama kusukuma mlevi.
  2. U

    Dkt. Slaa mwanasiasa mkorofi, mjuaji , msaliti na asiye na shukrani. Katubu kwa mamlaka husika vinginevyo mikosi itaendelea kukuandama siku zote

    Wadau hamjamboni nyote? Sio kwamba namdharau au nampa sifa mbaya Mwanasiasa huyu maarufu, hapana! Ukweli ni kuwa Dkt Slaa ni miongoni mwa binadamu wanaoongoza kukosa kabisa shukrani kwa fadhila alizopewa. Kila sehemu anayokaribishwa na kufadhiliwa lazima avuruge mambo, sijui yukoje huyu...
  3. Roving Journalist

    Danadana dhamana ya Dkt. Slaa; Wakili Madeleka ampongeza DPP kwa kutumia Sheria vibaya kukandamiza Watu

    MADELEKA: NI AIBU MAGEREZA KUKOSA GARI LA KUBEBA WATUHUMIWA DAR: Wakili Peter Madeleka akizungumzia kitendo cha Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa kukwama kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kueleza kuwa Jeshi la Magereza limeshindwa kumfikisha mshtakiwa huyo Mahakamani kwa...
  4. S

    Pre GE2025 Lissu ni kweli Dkt. Slaa sio tishio kwa serikali lakini hana adabu. Huwezi kumzushia Rais mambo ya kijinga

    Dkt Slaa amedai kuwa Rais aliongea na Mbowe na akampa mzigo wa kumsaidia kushinda uenyekiti wa Chadema, watanzania wamesoma habari hizo, wameona, wamesikia na wanaambiana kwenye vijiwe vya kahawa, navyomfahamu Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sio mtu...
  5. Roving Journalist

    Pre GE2025 Wakili Madeleka: Kisutu kuna danadana za kumnyima haki ya dhamana Dkt. Slaa tumeenda Mahakama Kuu

    Jopo la Mawakili wanaomwakilisha Dkt.Wilbrod Slaa kwenye Kesi ya Jinai Namba 993 ya Mwaka 2025 wamewasilisha maombi mawili kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ambapo ombi la kwanza ambalo limesikilizwa leo Januari 23, 2025 walikuwa wanapinga kunyimwa dhamana kwa mteja wao. Katika ombi...
  6. JanguKamaJangu

    Wakili Peter Madeleka amtumia Ujumbe Tundu Lissu kuhusu kesi ya Dkt. Slaa

    Wakili Peter Madeleka ameandika "Nitamuomba JENERALI Tundu Lissu ASIFANYE TAFRIJA ya KUSHEREKEA USHINDI WA CHADEMA mpaka DR. WILBROAD SLAA ATOKE GEREZANI. Ni muhimu pia DPP akahudhuria TAFRIJA hiyo." =================================== Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Jumatano...
  7. Mkalukungone mwamba

    Lema: Kama tulimpa Lowassa kugombea Urais basi Dkt Slaa atarudi

    “Winga ya kulia Lissu, Winga ya kushoto Heche halafu mimi(Godbless Lema) napita katikati halafu wanasema nilisema tutamleta Dkt. Slaa. Kaka tulimpa Lowassa(Hayati Edward Lowassa) Urais mtu wa CCM(Chama Cha Mapinduzi) itakuwa kumrudisha Slaa(Dkt. Wilbroad Slaa). Yeyote atajayetaka kurudi kwenye...
  8. Z

    Ukimsikiliza dkt Slaa vizuri, utabaini kuwa Mbowe hafai tena kuwa Kiongozi wa Chadema.

    Msikilize kwa makini. https://youtu.be/bm-1VGPLwdo?si=Iv2yOqYETyA72i3z
  9. Msanii

    Jaribio la polisi kumkamata Dkt. Slaa kuelekea maandamano ya Septemba 23, 2024 lashindwa

    Leo ahsubuhi, mnamo saa mbili Polisi wakiwa katika mavazi ya kiraia walifika nyumbani kwa Dkt, Slaa kwa nia ya kumchukua. Dkt Slaa ambaye wakati huo alikuwa anasikiliza maoni ya Watanzania kupitia Club House akatoa taarifa mapema kwa baadhi ya Wanadiaspora, ambapo kelele zikaanza kupigwa...
  10. L

    Kinachomsumbua Dkt. Slaa ni udini na chuki binafsi kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi sana kila inapotokea utawala uliopo madarakani ni wa upande wa pili yaani Uislamu. Amekuwa ni mtu...
  11. comte

    Pre GE2025 Bob Wangwe: Historia ya CHADEMA kwa miaka ya nyuma imekuwa ikiazima wagombea Urais

    "Historia ya CHADEMA kwa miaka ya nyuma imekuwa ikiazima wagombea Urais, tumekuwa tukiwabembeleza wanachama wenzetu kugombea Urais akiwemo Dkt Slaa kumekuwepo na 'trends' hiyo kwamba hatujawahi kuwa na watu wenye nguvu sana hasa ya kuleta ushindani na hata nguvu za kuweza kushinda kwenye Urais...
Back
Top Bottom