Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Tax (Mb) tarehe 30 Juni 2024 ameungana na Waumini wengine kushiriki Misa ya Jumapili katika Parokia ya Mtakatifu Kizito, Kabila Jimbo la Magu, Mkoani Mwanza.
Katika ibada hiyo, Mheshimiwa Waziri Stergomena Tax, aliungana na...