Katika Wilaya ya Igunga ili kurahisisha biashara ya Madini katika Wilaya hiyo inayoongoza kwa uzalishaji wa madini mkoani Tabora.
Kwa mujibu wa taarifa ya Afisa Madini Mkazi Mkoa wa Tabora inabainisha kuwa, Wilaya ya Igunga ndiyo inayoongoza katika uzalishaji wa dhahabu mkoani humo ikifuatiwa...