dkt. wibroad slaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Dkt.Slaa: Mabadiliko ya Mawaziri, Serikali haijui inataka nini, kubadili viongozi kama Gauni haisaidii kitu

    Haya si Maneno yangu, ni Maneno ya Dkt Slaa MWANASIASA mkongwe na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa amesema mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kila mara yamedhihirisha kuwa Serikali haijui inataka nini kwa sababu hata viongozi...
  2. B

    Ushauri: Dkt. Slaa, Advocate Mwambukusi, Kijana Mdude anzisheni chama kingine

    Asalam, Mods, nipeni nafasi kidogo na mada zangu. Kwa kawaida zina utofauti sana na nyingine pamoja na changamoto ya uandishi, kueleweka na mapambano hapa jukwaani. 1. Changamoto ya uandishi inatokana ulemavu wa mkono wangu wa kushoto ambao ndio naandikia. 2. Mahala ninapishi network yake iko...
  3. Mdude_Nyagali

    Tulikamatwa kinyume na sheria kwa sababu za kisiasa na tukaachiwa kisiasa

    1. 𝗞𝘂𝗸𝗮𝗺𝗮𝘁𝘄𝗮 Mnamo usiku wa manane tarehe 12 august 2023 siku ya ijumaa usiku tukiwa safarini tulikamatwa na askari polisi maeneo ya mikumi check point karibu na mizani. Askari hao walituambia wamepata maagizo kutoka juu ya kutushikilia Mimi pamoja na wezangu Emmanuel Godfrey Masonga pamoja na...
  4. mbinguni

    Dkt. Wibroad Slaa ni Ndumilakuwili

    Huyu ni mwanasiasa mwenye tabia ya kubadilika kama Kinyonga abadilivyo rangi yake. Watu wa upinzani, hasa Chadema wawe naye makini sana. Wasimkubali tu ghafla na kumpa nafasi kwani atawavuruga halafu mwisho wa siku mnabaki bila faida. Chadema mnao watu wenu mliowatengeneza wenyewe wazuri sana...
Back
Top Bottom