dodoma jiji vs yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ahmed Ally: Dodoma Jiji amefungwa magoli ya uongo na Yanga

    Ameandika Afisa Habari wa timu ya Simba @ahmedally_ [emoji116] "Dodoma Jiji jana kafungwa magoli mawili ya Uwongo, Moja la Offside na pili Penati ya uongo lakini Kocha wao hajalalamika kuonewa wala kudhulumiwa zaidi amesema AMESTAHILI KUFUNGWA Rejea mechi ya Dodoma Jiji Vs Simba, baada ya sisi...
  2. Full Time: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024

    Dodoma Jiji VS Yanga SC | NBC Premier League | Jamuhri Dodoma | Disemba 25, 2024 Saa kumi jioni Dakika 19, Mzize anawapatia goli Yanga Dakika 29, Aziz Ki anatupia goli la pili. Dakika 38, Mzize anawapa goli 3 Yanga. Dakika 62, Dube anafunga goli la nne
  3. FT: Dodoma Jiji 0-2 Yanga | Ligi kuu NBC | Liti

    Baada ya vibe la kombe la dunia huku Argentina akiwa haamini macho yake, ligi kuu Tanzania Bara leo inarejea. Kuwa nami nikujuze yanayojiri kutoka kwenye dimba la Liti mkoani Singida. Dodoma Jiji wamejigamba leo wanaenda kuuvunja mwiko na hamna mtu atasimama dakika ya 46 kushangilia unbeaten...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…