Habari wakuu.
Nipo na binti wa miaka 25, ni mkazi wa Wilaya ya Dodoma mjini Kata ya Ihumwa.
Elimu yake ni Stashahada ya mahusiano kazini kati ya mwajiri na mwajiriwa (diploma in industry relation/labour relation.)
Mwaka 2020 alihitimu na kufanya mafunzo ya miezi6 katika ofisi ya tume ya uamuzi...