Wakuu,
Taasisi iliyoanzishwa na Rais Donald Trump ya Ukaguzi wa Ufanisi WA serikali ya marekani (GOVERNMENT EFFICIENT) chini ya mkurugenzi wake yaani DOGE-(Director of Government Efficient) Bwana Elon Musk.
Sasa imepewa jukumu la uhakiki WA serikali kuu kwa watumishi hewa na wale watumishi...
Mo amefanikiwa sana kibiashara na ndio $bilionea wetu hapa bongo anayetambulika rasmi, akipewa kitengo cha DOGE kuleta ufanisi serikalini anaweza kuleta mabadiliko makubwa? Tukumbuke pia Wahindi ni wataalamu sana katika kudhibiti matumizi.
Rais Donald Trump alisema Ijumaa kwamba Elon Musk na timu yake ya Idara ya Ufanisi wa Serikali (DOGE) watachunguza kwa karibu matumizi ya Pentagon ili kutafuta uwezekano wa upotevu wa fedha na ufisadi.
Trump alianzisha rasmi DOGE kupitia amri ya kiutendaji mnamo Januari 20, siku ya kuapishwa...
Bilionea namba moja duniani Elon Musk yuko mbioni kuwateua vijana sita wadogo kiumri na legelege wenye sura za kitoto Baby Face kumsaidia kuifumua kuifungua na kuianzisha upya shirika la misaada la marekani America foreign Aid Agency.
Billionea huyu wa Tesla aliteuliwa kuwa mkuu wa Department...
Elon Musk asema yeye na Donald Trump wamekubaliana kufunga USAID – shirika linalosaidia maendeleo ya kimataifa.
Katika ujumbe wa sauti kwenye X, alisema: "Tunafunga shirika hilo," akiongeza kuwa alikuwa na "uungwaji mkono kamili kutoka kwa rais."
Alisema kuwa shirika hilo "haliwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.