Nimejiridhisha na sasa nawafahamisha. Namzungumzia kiongozi wetu hapa nchini, kiongozi mkubwa lakini kwa kubebwa bila kukabwa wala ubwabwa. Kiongozi kutokea jimboni hadi Bungeni na Serikalini. Watu wa mfumo wanamuita 'Dogo Janja'.
Ameshakuwa mzoefu na maarufu. Amekwepa mishale mingi na vigingi...