Habari wana ndugu kwa ujumla, natumaini wote hamjambo na mnaendelea shughuli zenu za kila siku! Naomba kujua tiba, ushauri au maelezo yakinifu kuhusu mwanamke aliyetoka kujifungua na tumbo lake likabaki kama awali ya ujauzito au kupungua kidogo tuu!🤤
Ashukuriwe mungu! Mke wangu amejifungua salama salmini!
Nawashukuru wote mlionipa support ya ushauri na maarifa kwenye uzi wangu nilioomba msaada wa fikra na ushauri juu ya kupita siku za kujifungua kwa mama mtoto wangu!
Amefanikiwa kujifungua jana mtoto wa kiume! Bila upasuaji wowote...
Habari wandugu!
Poleni kwa majukumu! naomba kujua au kueleweshwa kama kuna madhara kutogeuka kwa mtoto baada ya miezi kutimia.
Tulifanya utrasound dk akatujuza kwamba mtoto hajageuka na hamna madhara yoyote atageuka tu! Sa sjaelewa vizuri, anatutia moyo au la!
Nina hofu sana jamani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.