Huyu ni Mgombea wa nafasi katika Serikali ya Mtaa Mshikamano, huko Mbezi Louis, jijini Dar. Anaitwa Masoud “Lupenga” Mbaruku.
Kwenye moja ya kampeni zake ameahidi kuwa watafanya vyovyote vile kuhakikisha dola ya Mtaa wa Mshikamano inabaki kwenye chama chake cha CCM.