Kama ulikua hujui Dolla 100 ya Kimarekani imeandikwa in In God we Trust
Tunasemaga wazungu hawamwamini Mungu.
Mbona wameenda mbali hadi kumwandika Mungu kwenye pesa.
Nimeamini wazungu wanamwamini Mungu kuliko sisi.
Ninani anaweza kuweka maneno ya Mungu kwenye kitu chake chochote hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.