Tuendelee kupiga kazi bandugu, hii nchi ukijituma fursa zipo, tusiige tabia za kijamaa za kuchukia mafanikio ya wengine, huwa nafarijika sana nikiona vijana wanavyofungua kila aina ya biashara kote kote, kwanza kwenye taaluma ya TEHAMA au ICT tunaongoza kwa kuchangamkia fursa...