Habari wanajamvi,
Hapo nyuma, niliuliza swali. Hili hapa:
Leo asubuhi nilipata email kutoka Dudumizi, kuwa reservation zimeanza. Nilipiga simu DuHosting, wakaelezea yafuatayo:
Sasa hivi wanafanya reservation, kama ulisharegister jina lolote lenye format ya .xx.tz (iwe .co.tz, .ac.tz etc)...