Kulikuwepo na wazalendo kutoka nchi jirani ya Kenya kama vile Dome Okochi Budohi na Patrick Aoko ambao walikuwa wanajua vyema siasa za walowezi za kupora ardhi za wananchi. Kutoka kwa wazalendo kama hawa, Abdulwahid alipata usikivu wa mawazo yake ya kuigeuza TAA kuwa chama cha siasa chenye...
DOME OKOCHI BUDOHI MZALENDO KUTOKA KENYA ALIYEPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Naamini umeona hiyo video ya ufunguzi wa kumbi 12 zinazohifadhi historia ya Wakenya katika kupigania uhuru wa nchi yao.
Video hii imenitia hamu ya kumweleza Dome Okochi Budohi.
Sijui kama katika kumbi hizo kuna historia...
DOME OKOCHI BUDOHI "MAU MAU" NDANI YA TANU?
Kadi ya TANU ya Dome Budohi ni no. 6.
Dome Budohi alikuwa Mluya kutoka Kenya lakini alikuwa mwanachama na kiongozi wa TAA na hivi ndivyo alivyoweza kupata kadi hiyo no. 6.
Mimi nikimfahamu katika utoto wangu kwa jina la Dickson alipokuwa akija kwetu...