donal trump

  1. Mathanzua

    Mvutano mkali kati ya Trump na Zelensky watokea katika Ikulu ya White House

    Mabishano Makali Katika Oval Office: Zelensky Aingia Katika Mvutano Mkubwa na Viongozi wa Marekani Rais DonaldTrump na Rais wa Ukraine #VolodymyrZelensky walikuwa na mivutano mikali wakati walipokutana katika Ikulu ya White House. Trump na Makamu wake Rais JDVance walionyesha wazi kuwa waliona...
  2. J

    Pre GE2025 Shigongo amuomba Rais Trump wa Marekani asiifutie Misaada Tanzania kwani miradi mingi itakufa na Watu Wengi watapoteza Ajira!

    Eric Shigongo amemshauri Rais wa Marekani, Donald Trump kusitisha uamuzi wake wa kuzuia misaada kwa nchi za Afrika, kwa sababu akifanya hivyo Waafrika wengi watapoteza maisha. Akiwa nchini Marekani kikazi, Shigongo amesema misaada ya Marekani kwa nchi za Kiafrika, inasaidia kwa kiasi kikubwa...
  3. Waufukweni

    Kamala Harris ampigia simu Rais Trump kumpongeza na kukubali matokeo ya uchaguzi

    Makamu wa Rais wa Marekani ambaye alikuwa Mgombea Urais wa Marekani 2024 aliyeshindwa dhidi ya Rais Mteule Donald Trump, amempigia simu Trump na kumpongeza kwa ushindi kitendo kinachoashiria amekubaliana na matokeo hayo ya uchaguzi. Pia, Soma: • Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024...
  4. ward41

    Msidanganyike, Trump hawezi kurusu Ukraine iangukie mkononi mwa Urusi

    Sera ya MAREKANI ni ileile. 1) Ulinzi wa Israel 2) Ulinzi wa western Europe 3) NATO 4) Middle East 5) Far East Kila kiongozi wa MAREKANI anahakikisha anatimiza hizo Sera. Wanatofautiana misimamo tu. Kwa hiyo tusidanganyike eti Trump atamaliza Vita ya Ukraine, hapana. Ni uongo. Ukraine na...
  5. D

    Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

    Live Updates ya majibu ya kura kati ya Trump na Kamala Rasmi Fox News yatangaza kuwa Donald Trump ameshinda Urais wa Marekani dhidi ya Kamala Harris Kulingana na kituo cha habari NBC, Donald Trump ameshinda jimbo la Pennyslavania, jimbo ambalo kwenye chaguzi nyingi huamua nani atakuwa Rais...
  6. GENTAMYCINE

    Mdahalo wa Dunia kati ya Harris na Trump: Muda kamili kwa saa za Afrika Mashariki huu hapa

    Mdahalo huu mkubwa sana na Unaosubiriwa na Watu wenye Akili Kubwa (tulio na Akili zilizotukuka) utaanza Saa 10 Kamili Alfajiri (Kesho Jumatano) na kumalizika Saa 11 na Nusu. Haya mtaarifu na Mwenzako kuhusiana na huo muda na wale Wenzangu tusiojua Kiingereza tuhakikishe Kamusi za TUKI hazikai...
  7. P

    Rais wa Zamani wa Marekani, Donald Trump awekwa kizuizini

    Donald Trump has been placed under arrest at a courthouse in Lower Manhattan. The former US president is not wearing handcuffs but will have his fingerprints taken. After processing, Trump will attend an arraignment hearing where criminal charges will be read out We still don’t know the exact...
  8. Mto wa mbu

    Kwa yanayoendelea Marekani, Trump uenda akagombea na kushinda tena

    Japo haters wa Trump hawataki kukiri, Ila ukweli biden amefeli Sana. Marekani Kuna mfumko mkubwa Sana wa bei, kuliko kipindi Cha Trump, kwenye border Biden ndo ameboronga kabisa. Chini ya Trump Marekani ilitengeneza most secured border, yaani uhamiaji wa hovyo ulipungua mno, Trump alidhibiti...
  9. Boeing787-8

    Namuona Trump akigombea 2024 na kushinda Urais wa Marekani

    Ukweli mchungu, mwaka 2015 hakuna ambaye angedhani kuwa Trump angepata nominee ya Republican, ata Obama alibeza kuwa Trump ata nominee hatapata, lakini sote tunajua kilichotokea. Mwaka 2016 Trump alipata kura 62m (popular votes) akashinda urais. Mwaka Jana alipata kura 74m (popular votes) so...
  10. Miss Zomboko

    Wanachama wa Democrats wataka Trump kuondolewa madarakani mara moja

    Wapinzani wa Rais wa Marekani Donald Trump katika mabunge yote mawili wametoa wito wa rais huyo kuondolewa madarakani baada ya wafuasi wake waliokuwa wakifanya vurugu kuvamia bunge. Seneta wa Democratic Chuck Schumer amesea Bwana Trump anastahili kuondolewa mara moja. Na ikiwa sio hivyo, Spika...
  11. S

    Another White House worker test positive for coronavirus

    Trump administration officials were reportedly notified Wednesday night that a cafeteria worker on the White House grounds has tested positive for the Coronavirus. The employee worked at a cafeteria in the Eisenhower Executive Office Building, located just across West Executive Avenue, which...
  12. muqawama

    Siasa za Marekani: Je, unajua maana ya Serikali kufungwa(Government Shutdown)?

    KWENYE SIASA ZA MAREKANI: JE UNAJUA MAANA YA SERIKALI KUFUNGWA (Government Shutdown) ? 🔍 Swali 1: Nini maana ya Serikali kufungiwa? Jibu: Siasa za Marekani, Serikali kufungwa hutokea pale mambo mawili yanapotokea. Bunge la Kongress linaposhindwa kupasisha mswada wa Matumizi ya serikali...
Back
Top Bottom