Habari wanaJF,
Ningependa kushiriki nanyi mambo machache kuhusu ujenzi kwa wale wanaoendelea na ujenzi, au wanaotarajia kufanya hivyo siku chache zijazo.
1. YAPASWAYO KUFANYIKA KABLA YA KUANZA UJENZI
Maandalizi ya Eneo: Hakikisha umefanya maandalizi ya eneo unalotarajia kujenga, mfano...