door

  1. LA7

    Automatic door lock nimebuni mwenyewe tunaweza kuiboresha pia ikawa Bora zaidi

    https://youtu.be/9kXhJgeaBms?si=DL79cRrrlihd_3Z0 Mm ni mbunifu hivo nabuni kulingana na mazingira yangu Wakosoaji ruksa
  2. NUNEZ DIAZ

    INAUZWA Single door Refrigerator Hisense inauzwa

    Nauza friji ndogo single door hisense fridge ni mpya kabisa sijaitumia hata siku 1, bei 200,000 fridge ipo tabora nzega, mwenye uhitaji anicheki.
  3. D

    Wanahitajika mafundi wa door access control

    Isecure Technology ni kampuni inayojishughulisha na kufunga mifumo mbali mbali ya ulinzi maofisini na majumbani. Hii mifumo ni kama CCTV camera, Electric fence, Bio-metric time attendance and Access control. Pia tunajishughulisha na ufungaji wa GPS kwenye magari na Pikipiki Kwa sasa tunahitaji...
  4. JituMirabaMinne

    Kupata access ya kulitumia gari lako/ Car Fingerprint push to start/ Door locks n.k.

    Habari Guys Nina Biometric kit mbili kwa ajili ya magari. Lengo ni mtu kupunguza idadi ya watu wanaoweza kuaccess gari lako. Kuna option mbili Naweza kuuza mojamoja zikafungwa kwenye gari mbili tofauti, Maana yake mtu hatoweza kuwasha au kuondoka na hilo gari unless awe ameregister vidole...
  5. Mangi wa Rombo

    Unahitajika: glass slidding door

    Habari! Natafuta milango ya vioo ya ku slide kama inavoonekana kwenye picha. napatikana Dar es Salaam, kama unafaham wapi naweza kupata tafadhali nitashukuru ukinielekeza.
  6. Dr. Zaganza

    Anahitajika kijana anayeweza kufanya mauzo Door to door na delivery

    Habari zenu. Kijana mwenye nishhati (energy) ya kufanya mauzo vituo maalum tutavyompangia na kudeliver kwa wateja wetu waliopo kwa bidhaa asilia za ngozi anahitajika. Piga 0713 039 875 (Awe Dar au Kibaha mjini). Muhimu: sipo JF muda mwingi,tumia simu
  7. Makirita Amani

    Uchambuzi wa kitabu: The Third Door (Jinsi watu waliofanikiwa sana walivyoanza safari zao za mafanikio)

    Karibu kwenye uchambuzi wa kitabu kinachoitwa The third door : the wild quest to uncover how the world’s most successful people launched their careers ambacho kimeandikwa na Alex Banayan. Alex alichagua kuwafuatilia watu waliofanikiwa sana kwenye yale wanayofanya kwa lengo la kujua kule...
  8. D

    INAUZWA Door and window sensor alarm (alamu za madirisha na milango)

    Je unahitaji kuimarisha ulinzi wa nyumbani kwako kwa kuweka alarm lakini changamoto ni hela? Kama una madirisha ya aluminium, Je umewahi kuibiwa simu kupitia dirishani wakati wa usiku Je unajua wezi ni rahisi kwao kufungua madirisha ya aluminium au kuvunja vitasa na kuingia kupitia mlangoni na...
Back
Top Bottom