Siku chache baada ya mazishi ya mwanasiasa mkongwe Augustine lyatonga Mrema mke wake aliyefunga naye ndoa siku za karibuni amefunguka mbele ya wanahabari mambo mbalimbali ilkiwa pamoja na anayodai ni usia alioachiwa na marehemu mume wake pamoja na matumaini yake baada ya kifo cha...