dorothy semu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Pre GE2025 Mwaka 2025 mageuzi ni lazima: Dorothy Semu awataka Wanawake kusimama imara

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesisitiza kuwa mwaka 2025 ni mwaka wa mageuzi na wanawake hawatarudi nyuma katika mapambano ya kudai haki zao. Akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani jijini Dar es Salaam, Semu ameeleza kuwa hali ya kisiasa nchini...
  2. Mindyou

    Pre GE2025 Mwenyekiti ACT Wazalendo Dorothy Semu: Nikiteuliwa serikalini sitakubali uteuzi. Sitamani kufanya kazi nyingine zaidi ya ACT

    Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Doroth Semu ameeleza kuwa hatamani kufanya kazi sehemu nyingine tofauti na kukitumikia chama chake Cha ACT Wazalendo Na kwamba hata akipewa kazi serikalini hawezi kukubali. Ikumbukwe kuwa mwaka 2017 aliyekuwa mgombea wa ACT Wazalendo Anna Mgwhira...
  3. Mindyou

    Pre GE2025 Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Dorothy Semu atangaza nia ya kuwania Urais mwaka 2025

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu ametangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao. Semu ametangaza nia hiyo leo Alhamisi Januari 16, 2025 alipokuwa akizungumza na wahariri na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam akisisitiza yupo tayari kumkabili Rais Samia Suluhu...
  4. Waufukweni

    LGE2024 Dorothy Semu amuonya Mtendaji wa Kijiji kutoipendelea CCM Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amemuonya mtendaji wa Kijiji cha Angalia kutopendelea Chama cha Mapinduzi (CCM) wajibu wake nikutumikia wananchi sio ubaguzi wa itikadi katika uchaguzi. Kauli hiyo ameitoa baada ya mtendaji huyo kuzuia mikutano ya chama hicho kutumia maeneo ya Umma, Semu...
  5. Lady Whistledown

    Halima Mdee, Dorothy Semu, na Dkt. Dorothy Gwajima ni baadhi ya mifano Bora ya Wanawake kwenye Siasa na Uongozi

    Halima Mdee Alikuwa Mbunge wa Kawe kuanzia 2010 hadi 2020 (CHADEMA) akiwa miongoni mwa Wanawake wachache walioweza kuingia Bungeni kwa kupitia vyama vya Upinzani. Aliwahi pia kuwa mwenyekiti wa BAWACHA Dorothy Semu Mwaka 2020 aliteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti Bara na Chama cha ACT-Wazalendo...
  6. Roving Journalist

    Dorothy Semu ashiriki katika msiba wa aliyekuwa Mkuu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga, Askofu Chediel Sendoro

    Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Ndugu, Dorothy Semu, leo 17 Septemba, 2024 akiwa safarini kuelekea Jimbo la Rombo amepita Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga kwenye kuaga mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga, Askofu Chediel Sendoro ambaye alifariki tarehe 9 Septemba...
  7. Lady Whistledown

    Hotuba ya Dorothy Semu katika Kikao cha Halmashauri Kuu Taifa ya ACT Wazalendo, Agosti 25, 2024

    Taifa la wote, Maslahi kwa wote! Zanzibar Mpya, Zanzibar Moja Mamlaka kamili. Ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa nafasihii adhimu ya kukutana nanyi kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya kwanza tangu chama chetu kipateuongozi mpya baada ya Uchaguzi Mkuu Machi mwaka2024. Kwa heshima...
  8. R

    Mbona Zitto Kabwe anasikika zaidi na kufaya majukumu ya Kiongozi wa chama aliyemrithi Dorothy Semu?

    Sina cha kuandika zaidi, naomba comments zenu
  9. Nyendo

    Dorothy Semu: Sera ya elimu bure inayopigiwa kelele na Serikali ya CCM ni ulaghai mtupu

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesema sera ya elimu bure inayopigiwa kelele na Serikali ya CCM ni ulaghai mtupu. Haitekelezeki kwa ufanisi kiasi cha kurejesha tena michango lukuki kwa wazazi. “Wazazi wanachangishwa fedha kwa ajili ya mitihani, vitabu, chakula, walinzi, ukamilishaji wa...
  10. JanguKamaJangu

    Freeman Mbowe achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD)

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), makamu wake akiwa ni Kiongozi wa Chama Cha ACTwazalendo, Dorothy Semu.
Back
Top Bottom