Napenda kumtia moyo Mama Dorothy Gwajima kwani wachache wa namna hii ni adimu kuwapata.
Mungu ampe nguvu Dkt. John Pombe Magufuli ili kuendelea kuibua na kuzilinda hizi hazina ambazo kutokana na ufisadi kutamalaki hazikuwahi kuonekana.
Tanzania inaweza kusimama katika afya bila kutegemea...