Nawashauri wanaume,tusitangaze dosari za wanawake zetu,iwe ni mkeo au mchepuko,badala yake tuwasaidie kuziondoa hizo dosari.Kumbukeni mwanamke ni muhimu sana kwa maisha yetu sisi wanaume,watusaidia mambo mengi sana
Baada ya kupitia takwimu ya sensa 2022 ina jumla ya wananchi wapatao 61 mil. Na inaonyesha watoto wa Tanzania bara ni 29.365 mil sawa na 49.1%
Waziri TAMISEMI ameripoti idadi ya wapiga kura 31 mil. Hii inamaana kuwa watu wote wenye umri wa miaka 18+ sawa na 100% wamejiandikisha kupiga kura...
Nlitegemea kuwe na nguvu moja kupinga madudu yanayoendelea katika daftari la kuandikisha wapiga kura katika chaguzi zijazo. Je Vyama hivi havioni mapungufu/maovu/madudu/wizi unaofanyika katika daftari la wapiga kura ?
Mbona wamekaa kimya? What logical deductions can be made from such silence...
"Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na dosari ambayo hatuwezi kuificha, haiwezekani wagombea wa upinzani tu ndio hawakujua kujaza fomu ipasavyo halafu wagombea wa CCM wakaweza kujaza fomu ipasavyo kila mahali” Dkt. Faustine Ndugulile.
Ndugulile amesema haungi mkono suala la wagombea kupita bila kupingwa...
Uhusiano wa karibu kati ya China na nchi za Afrika, ambao umekuwa wa kina zaidi baada ya China kuwa na maendeleo makubwa kiuchumi, umekuwa unafuatiliwa kwa karibu na nchi za magharibi, na katika baadhi ya nyakati umekuwa ukipakwa matope kwa kila njia bila mafanikio, kujaribu kuleta migongano...
Jana nimekwenda ibadani nikapata upako wa kutosha. Na nikarudi nyumbani, nikitarajia kuwa furaha hiyo itaendelea hadi usiku wote. Kufika majira ya saa nne za usiku, timu moja, inayoitwa Taifa Stars ikatibua furaha yangu ya kutwa nzima. Hovyo kabisa. Nimesikitika sana. Yaani mnaruhusu goli dakika...
Mimi Tai katika kupaa kwangu nimekutana na penyenye kuwa Uchaguzi wa TCCIA unaofanyika tarehe 07.11.2023 umeanza kupata dosari.
Viongozi wa Makao Makuu wameanza kupanga safu, ikiwa ni pamoja na kujazia fomu wagombea ambao hawakuomba nafasi hizo hadi zoezi linafungwa.
Penyenye hii inasema...
Hii ilikuwa interview ikisikilizwa duniani kuhusu ujio wa makamu wa rais wa Marekani:
Ama kwa hakika shughuli ipo.
Labda itabidi kuomba mwongozo kufahamu ni sehemu ipi kama ipo tunayofanya vizuri.
Ya CAG nani hajayasikia?
Ameyasema juzi katia ufunguzi wa majengo ya Mahakama huko Same/Mwanga.
Kweli Mh. Jaji Mkuu, hujui dosari za mahakama zako? Hilo ulilolisema linatoka rohoni au unajikosha? watu wanaozea jela kwa kuonewa hasa wafuasi wa Chadema, nalo hulijui? La "wabunge" 19 wa mchongo nalo hulijui? Unaona...
Uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai huko Kilimanjaro waingia dosari baada ya DC kuiba Kura na kupata kura 400 ambazo hakuna waliompigia kura.
Idadi ya waliojiandikisha kupiga Kura imezidi Idadi ya Kura zilizopiga.
Kwa uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai unahitajika urudiwe na usimamiwe na viongozi wa...
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Jasson Rweikiza amesema hayo leo Jumatano Septemba 21, 2022 wakati akiwasilisha uchambuzio wa taarifa za maazimio ya Bunge kuhusu sheria ndogo.
“Kamati ilibaini dosari ya kukinzana na masharti ya sheria inayotoa mamlaka ya kutungwa kwa sheria ndogo inayohusika na...
Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya...
Waziri Nape, kuna dosari kwenye zoezi la anuani za Mitaa. Ipo mitaa inandikwa kwa jina la Kiswahili na mingine inaandikwa kwa lugha ya Kiingereza.
Unakute vibao viwili vinavyotumia mlingoti mmoja, kimoja kimeandika Mtaa wa MTAA WA MARKET, na kibao kingine kwenye mlingoti huo huo kimeandikwa...
Nimekuwa najiuliza kama CHADEMA ndio chama kikuu cha upinzani Tanzania ni dhahiri pia ndio chama kinachochukiwa zaidi na chama tawala kwa siasa za Afrika.
- Hebu jiulize siku Mh.Tundu Lissu alipopigwa risasi 32 Dodoma inaonyesha Mh. Tundu Lissu hakuwa na ulinzi wowote wa chama chake na kama...
Hata uteuzi wa leo tayari dosari zimeonekana. Tayari malalamiko kibao kuwa watu hawapo makini majina yamejirudia.
Haya uteuzi wa Mtednaji wa TANROAD tayari utaratibu umenyoshewa vidole.
Miamala dosari! Bei za mafuta dosari! Mishahara ya watumishi dosari. Safari za Mkuu wa Nchi dosari! Ndege ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.