DOSSA AZIZ ALIPOSAHAULIWA KUPEWA MEDALI 1985
Tarehe 27 Aprili, 1985 Julius Kambarage Nyerere, sasa akijulikana kama Baba wa Taifa, katika sherehe kubwa katika viwanja vya Ikulu, alitoa jumla ya medali 3979 kwa Watanzania waliochangia katika maendeleo ya taifa.
Kati ya wale ambao walipewa...
Akituelekeza namna ya kufika nyumbani kwake Kigamboni leo asubuhi Bi. Mwajame bint Dossa Aziz akamaliza kwa kusema, "Ukifika hapo utaona kibao kimeandikwa "Mwajame Street."
Mpwa wangu Yusuf aliyekuwa ananiendesha akashtuka na kuzungumza na Bi. Mwajame akasema "Mjomba Mtaa una jina lake!"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.