Mwezi huu Naibu Waziri Mkuu amepata msiba kwake, amefiwa na shemeji yake kijijini kwake Bulangwa, Jimbo la Bukombe ndio msiba umetokea wa Naibu Waziri Mkuu.
Kama kawaida, bwana kiongozi akija tunasimamishwa njiani masaa kadha wakadha huku tukisubiri apite huku uzalishaji ukiwa umesimama...