Hatimaye Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya fedha, Bwana Dotto James ameonekana hadharani baada ya kupotea kwa kipindi kirefu.
Ameonekana huko Chato kwenye maadhimisho ya miaka 3 tangu kufariki kwa John Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania.
Huyu hapa
Wamo Mabalozi, Wastaafu, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Vijana Chipukizi.
Kufuatia Katibu Mkuu Daniel Chongolo kuachia ngazi, wimbi la kupata Mrithi limezidi kuongezeka Mtaani huko Dar es Salaam.
Makada wanaotajwa kwa ukaribu kurithi mikoba hiyo ni pamoja na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania...
Huyu mtu anatajwa katika Kila jambo la upigaji, ukiona unataka kumuachia Baraba, tupe Dotto James. Hii kisiasa itaonyesha Nia yako ya dhati ya kupambana na ufisadi, na wananchi watakuwa wamekuwa na Imani sana kisiasa kuhusu wewe.
Yupo live Ikulu Rais anasema ofisi ya DCI ilikuwa ya wanyang'anyi wakikusanya pesa wanaiba ukifatilia wanakwambia ziko China kwenye account haieleweki.
Kumbe tulipigwa
USSR
--
Rais Samia amesema haya...
"Hapa nyuma kidogo, Tume ya Taifa ya Mashtaka kulikuwa kuna ngoma kubwa kidogo inachezwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.