Wasalaam.Kumekua na tabia siku hizi hasa kwa wale waliofanikiwa kimaisha kwa njia tofauti na kisomo kuwabeza waliosoma kwamba si chochote.
Mfano kuna mtu anaitwa Dotto Magari na Mbunge Msukuma.
Hawa wanaponda sana watu walio na Elimu kwamba haina faida.
Najiuliza wakienda Hospitali hao...