Salaam Mama Rais Samia.
Wakati yalipoanza matukio ya utekaji kipindi cha Serikali ya awamu ya 5; yalikuwa ni matukio mageni. Walakini kama vile hayataki yakawa mazoea kabla ya kuota mizizi.
Pengine isingekuwa hofu sana kama ungekuwa ni utekaji tu, ila watekaji wenyewe kuwa WATU WASIOJULIKANA...