dowans

"P" Is for Peril is the 16th novel in the "Alphabet" series of mystery novels by Sue Grafton. The novel focuses on the disappearance of Dr. Dowan Purcell, a nursing home administrator and doctor at Pacific Meadows Nursing Home, and features Kinsey Millhone, a private eye based in Santa Teresa, California. The novel is set in 1986.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    DOKEZO Serikali iliilipa Symbion Power TZS 358,575,739,422 mwaka 2021/22 Mitambo yao ikawa mali ya Tanzania rasmi

    Wakuu, Mchakato huu hauna harufu ya ufisadi ndani yake? Nini maoni yako? Ikumbukwe, Symbion Power iliondoka TZ ikiwa na deni la waliokuwa wafanyakazi wake lenye thamani ya TZS Bilioni 12 na Mahakama ikawa imeamuru mitambo yake ipigwe mnada. Na huenda ndio chanzo cha huo “unafuu wa umeme”...
  2. Tansesco kununuliwa na Fedha ya Dowans!

    Makamba anakwenda kuuza Tanesco yetu na watakao inunua ndio hao wanaolipwa mabilioni ya dowans, kwa kifupi, wanachukuwa hela zetu Serikalini tunawalipa halafu wanatumia fedha hiyo hiyo kuinunua Tanesco na kuimiliki, is a zero sum game, …
  3. Je, Watanzania mmejiandaa vipi kisaikolojia kwa ujio mpya wa Richmond (Dowans)?

    Update: 16/05/2023 Hayawi hayawi sasa yamekua. Megawati 180 kwa miaka 25 Zanzibar Update: 04/12/2022 https://www.jamiiforums.com/threads/je-ni-kweli-iptl-imewasha-mitambo-yake.2045101/ ========================== Update: 08/12/2022...
  4. Jambo lililomtesa Hayati Dkt. Magufuli ni mkataba wa Dowans na Symbion ambao Mzee Kikwete alisaini wakati wake

    Mkataba ile ulisainiwa kww vipengele vya kuifunga Tanesco isichomoke 1: Mkataba ulikuwa inaitaka Tanesco itumie umeme wa Dowans/Symbion kwa Miaka yote, 2: Mkataba ulikuwa umeandika Tanesco watumie au wasitumie Umeme wa Dowans / Symbion wanapaswa kumlipa kila siku ,Kila Mwezi, maisha yote. JPM...
  5. Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

    Wakuu, Muda si mrefu tutaweza kwenda Live kutokea Monduli ambapo Mhe. Lowassa (Waziri Mkuu aliyejiuzulu) atakapoongea na vyombo vya habari. Tumefanikiwa kupenyeza mtu hivyo tutaweza kuwaletea alichoongea. Nita-update 1st post kulingana na atakavyokuwa anaongea. Shukrani * Soma updates hizi...
  6. N

    Tuzo ya DOWANS kwa TANESCO ni utapeli kama Richmond ilivyokuwa; Hakukuwa na hukumu ICC!

    Imenibidi nilete changamoto hii kwa jukwaa la jamii forum ili ifanyiwe kazi haraka iwezekanavyo maana sisi kama watanzania tunaweza tukawa tumeingizwa mkenge uleule kama yalivyotokea mambo ya Richmund kwamba kampuni iligundulika feki kwa kujifanya mambo yao yamefanyika USA na kwingineko ulaya...
  7. B

    Elections 2010 Chimbuko la Dowans/Richmond na uchaguzi wa Igunga

    Hukumu ya Dowans imetoka wakati Muafaka ambao kampeni za mwisho zinafanyika igunga, Wapiga kura wa igunga tambueni kuwa ubovu na ufisadi wa CCM na Rostam Azizi ndio uliopelekea taifa hili lilazimike kulipa mabilioni haya, Tarehe 2 October iwe siku ya kuwapa Chadema ushindi ili kuowaongezea nguvu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…