Down Syndrome ni tatizo la kijenetiki linalotokana na uwepo wa kromosomu za ziada katika vinasaba vya urithi (DNA) vya Binadamu.
Tatizo hili husababisha mwonekano tofauti wa uso, ulemavu wa kiakili na ucheleweshaji wa ukuaji. Pia, baadhi ya watoto huzaliwa wakiwa na masikio madogo, shingo fupi...