Watu wengi wanatamani kuona vijana wetu wakiingilia kati aggression ya M23 inayoendelea nchi ya congo. Conspiracies zimekuwa nyingi mno kujua nikwanini vikosi vyetu havijaingilia kati kwa sasa. Natamani kujua ukweli dhidi ya huu uonezi, na kwanini vikosi vya M23 vinapata ushindi kirahisi sana.
Wakuu,
Mmwaona huko mashabiki wa Simba? Waazisha dozi ya kulamba ASALI kutwa mara tatu wakiendeleza masimango kwa Watani za Yanga baada ya kupiwa bao 3-1 na Tabora United hapo jana.
Pia, Soma:
+ Rais Samia aipongeza Tabora United kwa kuifunga Yanga bao 3-1
+ Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema dozi Moja ya chanjo ya HPV inatosha kumkinga msichana kupata ugonjwa wa Saratani ya Mlango wa Kizazi na kuwataka wazazi/walezi kuwapeleka watoto kupata chanjo hiyo.
Waziri Ummy Mwalimu amesema hayo Aprili 22, 2024 kwenye uzinduzi wa Maadhimisho ya Dozi moja...
Katika Mahojiano Maalum na Mwananchi, Aprili 7, 2024, Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Tumaini Nagu amesema moja ya sababu kubwa za Usugu wa Vimelea dhidi ya Dawa ni kutokumaliza au kutotumia Dawa vizuri hasa za Antibayotiki.
Prof. Nagu amesema mtindo wa kuwaandikia Wagonjwa Dawa 1x3 au 1x2...
Je, unazingatia 'dozi' unapoandikiwa na Daktari?
'Kuzingatia dozi' hujumuisha....
Kutumia dawa kwa Kipimo sahihi
Kumeza/Kunywa Dawa kwa wakati
Kumaliza dozi kamili
Kutotumia dawa nyingine kujitibu
Kuzingatia dozi ya dawa kunajumuisha kufuata maelekezo ya daktari au maelekezo yaliyomo...
Kwa wale wote waliwahi kuzionja goli 5 kutoka kwa Young Africans bila shaka watakuwa wanauelewa utamu wake namna ulivyo!
Kama ulikula keki vipande 5 na bado hukuridhika,basi usiwe na shaka wewe jiandae na Birthday nyingine lazima utakula na utashiba!
Kazi ya Yanga ni kuhakikisha kila mualikwa...
Kuna mtu alinieleza Ili dawa ya tayphoid ifanye kazi viziri Kuna kidonge kimoja unatumia kwanza ndipo uanze dose ndiyo dawa ifanye kazi sawa,naombeni kujuzwa kuhusu hili
Tunasikia Egypt walitoa habari juu ya shambulio hili ila huenda Israel wakaona wakidhibiti mapema mambo yatakuwa yale yale ya kuruhusiwa kumchapa Hamas na Chelewa wakitaka kurusha ngumi wanazuiwa (cease fire), itakuwa walifumba jicho kuwatoa sadaka baadhi ya waisrael kwa lengo ya kupata go...
Sindano ya Chanjo ya 'Tetanus' ni kinga dhidi ya pepopunda kwa mjamzito na watoto wachanga wanaozaliwa. Dozi tatu za (Tetanus Toxoid (TT) hutoa kinga kwa angalau miaka mitano. Kiwango cha juu cha dozi tano kitamlinda mwanawake kwa miaka 20.
Dozi ya kwanza (TT1) hutolewa wiki ya 16,
Dozi ya...
Hili tatizo limekuwa ni kubwa sana. Wataalamu wa afya wamekuwa wakitutaadharisha kuhusiana na madhara ya kutokukamilisha dozi za antibiotics kwamba hiyo hali uchangia usugu dhidi ya bakteria!
Sasa hili tatizo linaloendelea kushamiri tuu katika jamii zetu na kuhatarisha afya zetu, je ni...
Wizara ya afya nchini Kenya imetangaza kwamba muda wa matumizi wa zaidi ya dozi laki nane dhidi ya ugonjwa COVID-19 aina ya AstraZeneca umekamilika bila kutumiwa.
Idadi ya watu wanaojitokeza kuchanjwa imepungua pakubwa baada ya serikali kulegeza baadhi ya masharti yaliyowekwa kudhibiti...
Mamlaka ya afya ya Afrika Kusini ilisema Ijumaa kamba takriban dozi 100,000 za chanjo ya Pfizer ya COVID-19 ziko katika hatari ya kuharibiwa ifikapo mwishoni mwa mwezi huu kutokana na watu kutojitokeza kwa haraka kupokea chanjo.
Afrika Kusini imerekodi idadi kubwa ya maambukizi na vifo vya...
Namna Bara la Afrika linavyokabiliana na janga hilo imetajwa kubadilika, lakini kasi zaidi katika zoezi la utoaji Chanjo inahitajika ili kudhibiti maambukizi. Imeelezwa, 85% ya Waafrika bado hawajapata hata dozi moja ya Chanjo
Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Barani humo, Dkt...
Kuanzia Januari 29 hadi Februari 6, 2022 visa vipya 252 vya COVID19 vilibainika kati ya watu 8,529 waliopimwa huku Dar es Salaam ikiongoza kwa kuwa na maambukizi 184.
Tangu Mlipuko kuripotiwa Machi 2020 hadi kufikia tarehe Februari 6, 2022 jumla ya watu 33,482 (7.6%) kati ya 442,566 waliopima...
Uganda itaharibu dozi zaidi ya dozi 400,000 za COVID-19 ambazo zimeisha muda wake wa matumizi kutokana na kasi ndogo ya utoaji chanjo nchini humo
Waziri wa Afya wa Uganda, Jane Ruth Aceng amesema chanjo zilizopelekwa mikoa ya kaskazini hazikutumika. Dozi zilizoisha muda ni modern ana...
Wakati Lissu na genge lake wakiipigia chepuo Tanzania inyimwe misaada mbalimbali ya kibinadamu na kimaendeleo toka EU,
Mambo ni tofauti kidogo toka Ubelgiji nchi anayoishi Lissu Kwa kula na kulala bure,
Kwani imeamua kuisaidia Tanzania dozi 115,200 za COVID-19 bila masharti huku wakiisifu...
Rais wa China Xi Jinping ameahidi kutuma barani Afrika dozi bilioni moja za chanjo ya Covid-19 ili kusaidia kuziba "pengo la chanjo". Rais alitoa ahadi hiyo wakati wa mkutano wa kilele wa China na Afrika.
Kati ya bilioni moja, dozi milioni 600 zitatoka China moja kwa moja huku milioni 400...
Serikali imepokea Dozi 500,000 za Chanjo aina ya Sinopharm kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China. Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima amesema mwamko wa Chanjo ni mkubwa na wananchi wanaendelea kujitokeza.
Amesema, "Chanjo za Johnson & Johnson zimeisha tangu 19 Oktoba. Sasa tunaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.