Pfizer-BioNTech wamesema utafiti umeonesha ufanisi wa dozi ya tatu ambayo ni ya ku-boost chanjo ni 95.6% ambapo huweza kudhibiti hadi virusi vya Delta
Dozi mbili za awali zina ufanisi wa 84% hivyo inaonesha umuhimu wa kupata dozi ya tatu. Majaribio yamefanyika kwa watu 10,000 wenye miaka...
Serikali ya Tanzania leo Oktoba 08, 2021 imepokea dozi 576,558 za chanjo aina ya Sinopharm dhidi ya Virusi vya Corona kutoka Nchini China
Dozi hizo zimeletwa chini ya Mpango wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wa COVAX Facility, ikiwa ni sehemu ya dozi 1,065,600
Itilima yamaliza dozi za corona ilizopewa.
Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, imefanikiwa kumaliza dozi zote za chanjo 3,320 za Covid -19 ambazo ilipewa na Serikali kwa ajili ya kuwachanga wananchi wa wilaya hiyo ili kujikinga na ugonjwa huo.
Mkuu wa Wilaya hiyo, Faidha Salim amethibitisha hayo...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja
Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya...
billion
chanjo
chanjo ya corona
china
corona
dozi
gerson msigwa
kuagiza
kutoka
kutumia
milioni
milioni 2
mkopo
msaada
msemaji wa serikali
serikali
sinopharm
swali
tanzania
virusi vya corona
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema kuna chanjo 15,000 za Uviko-19 hazijatumika mkoani humo huku kukiwa na changamoto kwa kuwa baada ya mwezi mmoja kuanzia leo Jumamosi Septemba 25, 2021 zitafikia mwisho wa matumizi yake.
Ameeleza kuwa mkoa umepata dozi 15,000 za chanjo ya...
Benki ya Dunia(WB) imesema watu wa nchi za kipato cha chini waliopata chanjo walau dozi moja ni 1.1%
Dkt. Ahmed Ogwell kutoka Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Afrika(CDC) amesema idadi ikiendelea kuwa ndogo vituo vya afya vitaelemewa
CDC wameahidi kuendelea kusaidia nchi kuongeza idadi ya watu...
Marekani imeipatia Uganda dozi 647,080 za chanjo ya corona ya Moderna, ambapo dozi hizo zimefika Uganda Jumatatu, Septemba 7
Hadi kufikia Agosti 30, watu 1.37 alipokea chanjo ya Astrazeneca na Sinovac ambapo watu 399,097 wamepata dozi kamili
Uganda ina malengo ya kuwachoma chanjo watu millioni...
Kenya imepokea dozi nyingine 880,320 za chanjo ya Moderna.
Hii ni awamu ya pili ya dozi milioni 1.76 zilizotolewa na serikali ya Marekani nchini Kenya , kupitia kituo cha Covax.
Chanjo hizo zimewasili nchini Kenya Jumatatu asubuhi. "Kundi la 2 la dozi 880,320 za chanjo ya Moderna # COVID19...
Taasisi ya Chakula na Dawa ama FDA ambayo ndio huithinisha matumizi ya madawa kwa binadamu nchini Marekani inatarajia kuidhinisha matumizi ya dozi ya pili ya chanjo ama booster vaccine shots (kwa waliopata Chanjo ya Johnson and Johnson) ama ya tatu kwa waliopata chanjo nyingine kama Moderna ama...
Nchi hiyo imeacha kutoa Dozi ya pili ya Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19 ili kutoa kipaumbele kwa wale ambao bado hawajapata Dozi ya kwanza.
Kutokana na upungufu, Serikali imesema itagawa Chanjo zilizobaki katika maeneo ambayo yameripoti ongezeko la maambukizi na vifo, na ambao wanasubiri...
Njia ya kuchanganya chanjo za Covid -19 kwa kutumia chapa mbalimbali za chanjo ya Covid kwa dozi ya kwanza na ya pili - inatoa kinga nzuri dhidi ya virusi vya janga hilo, utafiti wa Uingereza umebaini.
Majaribio yalitazama ufanisi wa dozi mbili za Pfizer, AstraZeneca na Mchanganyiko wote...
Wadau Kuna mdada nilikutana nae humu mitandaoni tukaelezana ya kwetu mpaka na contacts tukapeana tukatafutana mpaka tukaonana!
Tukakubaliana tuingie kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa sharti la kupima afya kwanza! Kabla ya kupima afya huyu mdada alinipeleka mpaka kwa ndugu zake wa karibu...